Sauti sol
Vee money on the track
Leo kama kamasutra mama (kamasutra)
Kama kama kamasutra mama ye ye ye (kamasutra)
Kama kama kamasutra baba (kamasutra)
Kama kama kamasutra baba ye ye ye (kamasutra)
Ntakupa kazi upande mlima baby yeah
Na siri zangu zote ntatoboa yeah
So many things i want do to you my baby yeah
Na siri zako mi sitatoboa
Hmm
Selector i got something to make you better
Light the fire mi napepeta
Light the fire mi napepeta
Eh
Selector i got something to make you better
Light the fire mi napepeta
Light the fire mi napepeta
Leo kama kamasutra mama (kamasutra)
Kama kama kamasutra baby ye ye ye (kamasutra)
Kama kama kamasutra baba (kamasutra)
Kama kama kamasutra baba ye ye ye (kamasutra)
Njoo nairobi
Katia dame mkali
Leo ni mahaba na kuparty hadi
Ushawasha nare
Hanjam kali
Leo michuano ki roja milla
Lazima ninare
Even kale
Cash madam nakubalika
Mboga juu ya meza
Tereza ki murenda
Washa wudi na kadhalika
Hmm
Vanessa, i got something to make you wetter
Baby let me kiss you better
Light the fire mi napepeta
Selector i got something to make you rise up
Let me back it up on you
Light the fire mi napepeta
Leo kama kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (kamasutra)
Kama kama kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (kamasutra)
Mapenzi ya kihuni yanimaliza
Kiuno kama nyivu baby punguza
Nishakubali wanafunzi wewe professa (kamasutra)
Mapenzi ya kihuni mi napachika
Kiuno kama nyivu ninatulia
Kubali wanafunzi mimi professa (kamasutra)
Sidhani kama mimi naondoka nawa
Napiga mahesabu naondoka nawe
Lakini ?
Kiuno kama nyivu natulia
Sidhani kama mimi naondoka nawa
Napiga mahesabu naondoka nawe
Lakini ?
Leo kama kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (kamasutra)
Kama kama kamasutra (kamasutra)
Kamasutra (kamasutra)